Nahitaji simu hizi, Huawei y300 na Tecno H6

Nahitaji simu hizi, Huawei y300 na Tecno H6

Ahsante .. naomba mungu akuongeze uwezo wa matusi .. akujaalie hata ukifika wakati wa kifo chako uwe ni mwenye kutukana matusi ya nguoni hivyohivyo.
SINA MJADALA TENA NA WEWE FANYA UNALOJISIKIA SITAKUJIBU HATA.. good thing nishajua wewe ni mtu wa aina gani..

kwahy ww ndo mwenye hatimiliki ya kutoa matuc?

ukiwa mstaarabu inapendeza bt ukijifanya hazimo bac kuna zaidi yako,

asubuhi njema
 
in urgent need mwenye kuuza simu hizo .. zilizo katika hali nzuri kimuonekano bila kuwa na ubovu . tafadhali tufanye biashara..
price iwe fair kidogo jameni

h6 ipo nicheck nipo sinza0712505049
 
Kuna bingwa kanitupia tayari.. huawei y530... PM ilihusika... AHSANTENI WAUNGWANA
 

Attachments

  • 1426601123158.jpg
    1426601123158.jpg
    61.5 KB · Views: 141
  • 1426601143940.jpg
    1426601143940.jpg
    32.3 KB · Views: 123
  • 1426601163866.jpg
    1426601163866.jpg
    58.6 KB · Views: 119
in urgent need mwenye kuuza simu hizo .. zilizo katika hali nzuri kimuonekano bila kuwa na ubovu . tafadhali tufanye biashara..
price iwe fair kidogo jameni

cheki me 0717184353 nkupe y530 huwaei
 
Back
Top Bottom