Nahitaji Simu Bajeti Yangu 800k

Nahitaji Simu Bajeti Yangu 800k

Nenda Mobile Plaza kuna duka linaitwa Punga phone kuna simu nzuri me nimetoka hapo juzi kuchukua Sony Xperia Z3+ ni laki 8 ina warranty ya miaka miwili
Asante kaka. Ila nipo mkoani.
Wanaweza kuwa na matawi mikoani, hasa mwanza?
 
Nenda Mobile Plaza kuna duka linaitwa Punga phone kuna simu nzuri me nimetoka hapo juzi kuchukua Sony Xperia Z3+ ni laki 8 ina warranty ya miaka miwili

Hiyo mobile plaza iko wapi mkuu kuna jamaa yangu kanunua simu hapo kwa huyo huyo punga phones htc bei poa.
Mkuu, huyo jamaa yako hukumuliza hilo duka liko wapi?
Anyway, liko Dar. Ukifika Soko la mitumba Mchikichini nyoosha kwenda Kariakoo, siyo mbali utaliona ghorofa limeandikwa MOBILE PLAZA.
 
nunua hicence huwa nailaza kwenye ndoo ya maji week nikiitoa naitumia tu nina miaka miwili sasa niliipata south africa mwaka juzi
 
Back
Top Bottom