Nikushauri njia rahisi kabisa tafuta moderm ya ZTE za vodacom zile nyeupe weka line hata kama message ulifuta na phone book huwa ina backup usoma zoteSalaam wajuvi wa jukwaa hili.
Kwa jiji la Mwanza, wapi naweza pata Sim Card Reader? Niweze kusoma data za kwenye line ya simu kwa kutumia PC.
Shukrani.