Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

Mungu katika Yesu Kristo ndie silaha pekee, serious kabisa nakuambia, usianze ubishi katika hili
 
Tatizo pisto nimoja kati yamtaji wawatu mana wanaweza kuifuata hiyohiyo pisto mkuu mwombe mungu naonanawatu wenye makampun ya ulinzi
 
Habari zenu member jf,nahitaji mni shauri silaha ambayo ni nzuri ya kujilinda kwasababu walishakuja kunivamia mara 4,nyumbani kwangu Bunju,n mara ya mwishu ilikuw kabla ya pasaka na siku nyingine ilikuwa mwenyewe na kunichukulia 2m,ndani ya gari,sasa nataka bastola amabayo naona ndo itakuwa dawa yao.

Mkuu ukihitaji Bodyguard au Security Guard ni PM.
 
Pia tunaweza kukukodisha silaha, ila utaratibu wake ni mrefu. Ukihitaji kuynunua nena Mzinga Corporation. Budgewt kuanzia TZS 1M.
 
Bwana asipolinda mji, walindao wakesha bure.
Mwamini Bwana Yesu kristo wa Nazareth aliye hai, Naye atakulinda na mabaya yote

kwani ktk Zaburi 125:1 Biblia inasema
" Wamtumainiao BWANA ni kama mlima sayuni ambao hautatikisika, wakaa milele.
Kama milima inavyozunguka Yerusalemu ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake tangu sasa na hata milele"

KAZI KWAKO...BASI SAWA"
 
Mbona hata viongozi wa dini wanamiliki silaha/Bunduki ?
aliyekuambia viongozi wote wa kanisa wanamuabudu Yesu Kristo ni nani? wengine wana sanaa tu. Simama katika imani yako na itakuokoa

Dah,
Watu mna imani sana kwa kweli. Yaani Jamaa wanakuja na mguu wa kuku wewe unategemea neno la Yesu tu???
Hujawahi sikia linavamiwa Kanisa na Majambazi? Soma hapa Majambazi yavamia kanisa Dar

Kuvamiwa kwa kanisa sio hoja ndugu yangu, imani yako wewe ndio inakuponya. Nenda kasome Marko 5
 
mungu katika yesu kristo ndie silaha pekee, serious kabisa nakuambia, usianze ubishi katika hili
aisee duniani kuna watu wa ajabu ,unajuaje imani yake !!!mbona yesu hakuzuia zile pesa kule mbaggala na makanisa kuchomwa ???? Hivo vitu vinabase kiimani zaidi mkuula sivo haifanyi kazi,yeye anataka silaha wewe unamwambia yyesu umpe basi akae hapo mlangoni kama ni silaha!!!
 
weka fence ... ndefu ........weka na barbed wire ........ukiunganisha na umeme .......pia waweza weka alarm kwenye milango
yako yote .........unai set ukilala otherwise fuga mbwa ... na pia kabla ya kulala OMBA HIVI>

Katika jina la YESU ... JINA LIPITALO MAJINA YOTE ..... NAIWEKA NYUMBA YANGU WAKFU MBELE ZAKO MUNGU,
PAMOJA NA MALI ZANGU ZOTE ..... NAIFUNIKA NYUMBA HII KWA MOTO WA R/MTAKATIFU ... MALAIKA WAKO WALINZI WENYE SILAHA ZA KIMBINGU WAZINGIRE ENEO LOTE ... KTK JINA LA YESU .... AMEN!!!!!!
WEWE mwenyewe na mali zako ZIFUNIKE KWA MOTO NA DAMU YA YESU ............... you will be safe!!!:amen:
 
dah,
watu mna imani sana kwa kweli. Yaani jamaa wanakuja na mguu wa kuku wewe unategemea neno la yesu tu???
Hujawahi sikia linavamiwa kanisa na majambazi? Soma hapa majambazi yavamia kanisa dar
refer padri evarist ,wambie hao waache utani basi zile risasa zingekuwa hewa.no such power exist ukishavamiwa nakuibiwa utasikia mwombe mungu atakupa vingine !!!ideological base
 
Kama hutaki kuvamiwa na kubiwa na Majambazi chagua kuwa Fukara hutavamiwa milele!
 
Back
Top Bottom