Nahitaji Shule ya kujiendeleza kielimu jamani, Ada iwe ya kawaida.

Sauda

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
860
1,106
Jamani mimi nataka nijiendeleze kielimu, kuanzia kidato cha 1 na kuendelea.
Nataka nianze kwanza na English Coure, ile English ya kuandika na kuongea kabisa kama nakunywa maji.
Ikiwa bweni au ya kutwa sawa.
mimi ni mtu mzima tayari age 20+
nisaidieni maelezo ya shule na ada zao, kama ni kutwa au bweni.
karibuni!

sitaki shule za mamilioni mie mtoto wa mswahili.
 
Engl course nenda kwa rasi simba.
Shule isiyokuwa na ada kubwa nadhani ni serikalini ila ukanunue jina LA mtu.
 
Jamani mimi nataka nijiendeleze kielimu, kuanzia kidato cha 1 na kuendelea.
Nataka nianze kwanza na English Coure, ile English ya kuandika na kuongea kabisa kama nakunywa maji.
Ikiwa bweni au ya kutwa sawa.
mimi ni mtu mzima tayari age 20+
nisaidieni maelezo ya shule na ada zao, kama ni kutwa au bweni.
karibuni!

sitaki shule za mamilioni mie mtoto wa mswahili.
Ipo ya kutwa hapa kwetu gamboshi itakufaa sana
 
Sauda mtoto mzuri kwanini upate tabu na gharama ya pesa nyingi wakati niko

Njoo ntahakikisha unajua english kumshinda Obama
 
Jamani mimi nataka nijiendeleze kielimu, kuanzia kidato cha 1 na kuendelea.
Nataka nianze kwanza na English Coure, ile English ya kuandika na kuongea kabisa kama nakunywa maji.
Ikiwa bweni au ya kutwa sawa.
mimi ni mtu mzima tayari age 20+
nisaidieni maelezo ya shule na ada zao, kama ni kutwa au bweni.
karibuni!

sitaki shule za mamilioni mie mtoto wa mswahili.
hahahah
wamekusikia, watakufikia. Weka bando la kutosha maana PM kutakuwa bize sana
 
Jamani mimi nataka nijiendeleze kielimu, kuanzia kidato cha 1 na kuendelea.
Nataka nianze kwanza na English Coure, ile English ya kuandika na kuongea kabisa kama nakunywa maji.
Ikiwa bweni au ya kutwa sawa.
mimi ni mtu mzima tayari age 20+
nisaidieni maelezo ya shule na ada zao, kama ni kutwa au bweni.
karibuni!

sitaki shule za mamilioni mie mtoto wa mswahili.
Kama huyo wa kwenye avatar ndiye wewe basi sishangai.

Nenda British Council ni wazuri sana.
 
Jamani mimi nataka nijiendeleze kielimu, kuanzia kidato cha 1 na kuendelea.
Nataka nianze kwanza na English Coure, ile English ya kuandika na kuongea kabisa kama nakunywa maji.
Ikiwa bweni au ya kutwa sawa.
mimi ni mtu mzima tayari age 20+
nisaidieni maelezo ya shule na ada zao, kama ni kutwa au bweni.
karibuni!

sitaki shule za mamilioni mie mtoto wa mswahili.
Mkuu nicheki 078 tano907371
 
Back
Top Bottom