Nahitaji Shower Mixer Nzuri

Nahitaji Shower Mixer Nzuri

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,361
Reaction score
6,966
Wadau wa majumba naombeni ushauri nahitaj shower mixer nzuri Je ni wapi naweza kupata kwa hapa Dsm at affordable price but quality
 
🛀
1643910287274.png
 
Wadau wa majumba naombeni ushauri nahitaj shower mixer nzuri Je ni wapi naweza kupata kwa hapa Dsm at affordable price but quality
Unaweza nunua ya crome kama maji yako niya chumvi au kama maji safi nunua ya aluminiun kampuni ziko nyingi kuna bobo,sanity,errow, lesso,wewe tuu ukifika sokoni ukiona sample unachagua mwenyewe
 
Duh shukrani sanaa kwa ushauri mzuri
 
Wadau wa majumba naombeni ushauri nahitaj shower mixer nzuri Je ni wapi naweza kupata kwa hapa Dsm at affordable price but quality

Affordable price but quality...hizi ni mambo mbili kinzani...hata hivyo jaribu kucheck brand ya Firmer
 
Nenda pale Morroco karibu na Vodacom kuna kampuni ya ABC wana uza brand mbalimbali hutojutia..

Kama unajali quality pia pita na Dar Ceramica (Karibu na Clouds Fm,Njia ya chini) kama unaelekea Kawe.
 
Dar ceramic wako motooo mbaya bei zao 700k ndio shower ya bei chee
 
Habari
Karibu Dukani Kwetu goodtronics hardware
Tuna shower mixer za Aina Tofauti na Bei Tofauti
Kulingana na Mazingira/Aina ya Maji Unayotumia.

Kwa Wateja Ambao Maji yao yana Asili ya Chumvi tuna Shower Mixer za Alminium
Kuna Brand ya Bobo ( Made In China)
Ring/City Market (Dubai, Made In China)
Dikalan (Dubai, Made In China)

Tofauti ya Ambazo ni Direct from China Ni kuwa Uzito wa Alminium unakua umepungua kidogo Kwa sababu ya nature ya soko Mfano Shower Mixer za Bobo ni Kwa ajili ya soko la Tanzania tu, ambapo wengi wanaangalia bei so mchina amepunguza Alminium. Kwa Ubora ni Bora haijawahi kuwa na malalamiko
 
Asante mkuu tofauti na bobo kuna brand gannnziri ambayo alluminium yake ni nzito ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom