Nahitaji sehemu ya kupika chakula (jiko)

Nimekodi mgahawa maeneo ya karibu na chuo kikuu fulani dar...Naendesha hiyo biashara kwa hasara....nahitaji namna ya kuwamaster ninaofanya nao kazi...

Naona kama wote wanashirikiana katika upigaji...

Biashara iko center nzuri wateja wapo wa kutosha...ilifika hatua nikawaambia walete hesabu kwa siku wakafanya kwa siku chache...baadae wakasema haiwalipi inawapa hasara...

Naomba kujua nawezaje kuendesha hii biashara kwa sababu siko nao nawaacha wasimamie wenyewe niko nafanya shughuli nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio unakwama ndugu yangu. Biashara kama hizo inapaswa usimamie wewe mwenyewe ukishidwa weka mtu wako wa karibu sana. Kuna jamaa yangu alifunga kijiwe cha chipsi sehemu nzuri sana na kwambia kwa siku alikuwa anaweza kukaanga gunia 1 la viazi. Jamaa akaja kujichanganya kuaachia wale wafanyakazi ndio wawe kila kitu. Saizi jamaa kafunga hana kitu tena, anajichanga arudi tena.

MGC
 
Wote niliowaweka ni watu wa karibu tofauti na hao labda niweke ndugu..tatizo la ndugu wakishajua unapata kitu kidogo matatizo yao hayataisha kwako.....
Hapo ndio unakwama ndugu yangu. Biashara kama hizo inapaswa usimamie wewe mwenyewe ukishidwa weka mtu wako wa karibu sana. Kuna jamaa yangu alifunga kijiwe cha chipsi sehemu nzuri sana na kwambia kwa siku alikuwa anaweza kukaanga gunia 1 la viazi. Jamaa akaja kujichanganya kuaachia wale wafanyakazi ndio wawe kila kitu. Saizi jamaa kafunga hana kitu tena, anajichanga arudi tena.

MGC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekodi mgahawa maeneo ya karibu na chuo kikuu fulani dar...Naendesha hiyo biashara kwa hasara....nahitaji namna ya kuwamaster ninaofanya nao kazi...

Naona kama wote wanashirikiana katika upigaji...

Biashara iko center nzuri wateja wapo wa kutosha...ilifika hatua nikawaambia walete hesabu kwa siku wakafanya kwa siku chache...baadae wakasema haiwalipi inawapa hasara...

Naomba kujua nawezaje kuendesha hii biashara kwa sababu siko nao nawaacha wasimamie wenyewe niko nafanya shughuli nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole KM,.iko hivi hiyo sehemu haikupi hasara au hiyo biashara haikupi hasara according to you,.ila wanaokupa hasara na kufanya biashara ionekane ngumu ni wasaidizi wako,....ndio maana wengi wetu tunakomaa wenyewe na ikitokea tukawa na shughuli nyingine basi ni lazima ufahamu misingi uliyoiweka,uzalishaji kila kitu pamoja na faida yake,.hapo sasa hata siku 2 usipokuwepp au hata wiki utajua kilichotoka na kuingia,kupigwa na wafanyakazi wako ipo hasa kama wewe mwenyewe haupo,lakini kama tangu awali ulikuwa unajua kinachotoka na kuingia wataiba lakini kidogo mnoo kiasi usiweze kunotice wakati ukiwa mbali.....na pia ukishajua misingi ya biashara yako ni rahisi kumuambia msaidizi/wasaidizi wako kuwa kila siku no matter what nataka kiasi flani juu ya meza hiyo ni iwe isiwe" kwasababu unajua hapa kwa siku piga ua lazima pesa flan iingie...hii itakuepushia zile "ooh biashara leo sio nzuri"au "wateja hakuna siki hizi" kumbe unawatengenezea wao mitaji baada ya muda flan utawasikia biashara mbaya tunaacha na ukiwafuatilia utakuta wanaenda kufanya za kwao sasa kutokana na kuiua yako...

Kwahiyo jaribu kuanza kuifuatilia upya biashara yako ili ujue A'Z,.na kujaribu kupata watu waaminifu japo wengi hubadilika wakizoea kazi,.lakini waaminifu wapo,kingine ukipata muda jaribu kuspend muda huo kwenye biashara yako hata kama hupiki hata kuchochea kachochee tuu😄😄
 
Thank mkuu nimekuelewa...naweza kuwepo pale ila changamoto ninayoipata nashindwa kuingilia mauzo yao....nakuwa ni mtazamaji...

nawaza kutafuta mamluki wa kumuweka au ikishindikana nitafute mtu wa kuniletea hesabu kamili

Nafikiri Itakuwa sawa kama nitakuwa mshika hela siku nikiwa hapo..japo watashangaa kwanini nimepoteza imani nao
Pole KM,.iko hivi hiyo sehemu haikupi hasara au hiyo biashara haikupi hasara according to you,.ila wanaokupa hasara na kufanya biashara ionekane ngumu ni wasaidizi wako,....ndio maana wengi wetu tunakomaa wenyewe na ikitokea tukawa na shughuli nyingine basi ni lazima ufahamu misingi uliyoiweka,uzalishaji kila kitu pamoja na faida yake,.hapo sasa hata siku 2 usipokuwepp au hata wiki utajua kilichotoka na kuingia,kupigwa na wafanyakazi wako ipo hasa kama wewe mwenyewe haupo,lakini kama tangu awali ulikuwa unajua kinachotoka na kuingia wataiba lakini kidogo mnoo kiasi usiweze kunotice wakati ukiwa mbali.....na pia ukishajua misingi ya biashara yako ni rahisi kumuambia msaidizi/wasaidizi wako kuwa kila siku no matter what nataka kiasi flani juu ya meza hiyo ni iwe isiwe" kwasababu unajua hapa kwa siku piga ua lazima pesa flan iingie...hii itakuepushia zile "ooh biashara leo sio nzuri"au "wateja hakuna siki hizi" kumbe unawatengenezea wao mitaji baada ya muda flan utawasikia biashara mbaya tunaacha na ukiwafuatilia utakuta wanaenda kufanya za kwao sasa kutokana na kuiua yako...

Kwahiyo jaribu kuanza kuifuatilia upya biashara yako ili ujue A'Z,.na kujaribu kupata watu waaminifu japo wengi hubadilika wakizoea kazi,.lakini waaminifu wapo,kingine ukipata muda jaribu kuspend muda huo kwenye biashara yako hata kama hupiki hata kuchochea kachochee tuu[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank mkuu nimekuelewa...naweza kuwepo pale ila changamoto ninayoipata nashindwa kuingilia mauzo yao....nakuwa ni mtazamaji...

nawaza kutafuta mamluki wa kumuweka au ikishindikana nitafute mtu wa kuniletea hesabu kamili

Nafikiri Itakuwa sawa kama nitakuwa mshika hela siku nikiwa hapo..japo watashangaa kwanini nimepoteza imani nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ni yako na si yao kwanini washangae ww kusimamia ukusanyaji wa pesa??? Unawapa mwanya sana aisee,.watakuangusha fanya kitu cha kueleweka immediately,.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom