Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
Hivyo eeeh!?🤔Kama ambavyo mi nakupenda lakini wewe hunipendi?
Fanya kama unajikuna unitumie hela ya sikukuu basi😘
Hivyo eeeh!?🤔Kama ambavyo mi nakupenda lakini wewe hunipendi?
Sawa kipenzi.Ntamwambia pacha angu tuje.Hahaha pacha jomoniii...ufanye kuja kunitembelea basi uoneshe upendo wako zaidi kwangu na kwa pacha 'etu😂😂
Mje jamanii,.vitu vizuri tunakula na rafiki zetu wazuri wazuri kama wewe na pacha...Sawa kipenzi.Ntamwambia pacha angu tuje.
Shukrani kipenzi[emoji120]Mje jamanii,.vitu vizuri tunakula na rafiki zetu wazuri wazuri kama wewe na pacha...
❤❤Shukrani kipenzi[emoji120]
Hahaha Rebecca wangu ahsante jamanii,.Mungu ni mwema niko na mgahawa sasa karibu mnoo...
Happy New Year,.
Ukishatua town nambie tuu mzee baba,.Mother Confessor mgahawa wako uko wapi kwa hapo dar?
Nna safari ya dar siku chache zijazo nataka nije kula....
HA HA HA HA HA.Ukishatua town nambie tuu mzee baba,.
Mimi nakuja kula dona!Au maza kwa sababu mghahawa upo hapa Dar kwa wanaume wa Dar basi huwa hupiki dona?Ukishatua town nambie tuu mzee baba,.
Weee atoto wangu dona muhimu,hasa kwa wale wageniMimi nakuja kula dona!Au maza kwa sababu mghahawa upo hapa Dar kwa wanaume wa Dar basi huwa hupiki dona?
Hahaha umecheekaaaHA HA HA HA HA.
hamna shidaa
Karibu kitokolo😉
Nimefunga,.ila kama ni mambo ya kibiashara naweza kukupm,.
Ushauri wa namna gani tafadhali,.Shwari mkuu...biashara unaendelea nayo.......naomba msaada wako kuhusiana na hiyo biashara..pm yako naona umefunga....sijui nakupataje
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaulizwa mgahawa ulipo hutaki kusema.Ushauri wa namna gani tafadhali,.
Sieleweki nini??kuna mahali nimetangazia umma wa jf kuwa natafuta wateja???Unaulizwa mgahawa ulipo hutaki kusema.
Hueleweki, unachoficha.