Nahitaji sehemu ya kupika chakula (jiko)

Nahitaji sehemu ya kupika chakula (jiko)

Ushauri wa namna gani tafadhali,.
Nimekodi mgahawa maeneo ya karibu na chuo kikuu fulani dar...Naendesha hiyo biashara kwa hasara....nahitaji namna ya kuwamaster ninaofanya nao kazi...

Naona kama wote wanashirikiana katika upigaji...

Biashara iko center nzuri wateja wapo wa kutosha...ilifika hatua nikawaambia walete hesabu kwa siku wakafanya kwa siku chache...baadae wakasema haiwalipi inawapa hasara...

Naomba kujua nawezaje kuendesha hii biashara kwa sababu siko nao nawaacha wasimamie wenyewe niko nafanya shughuli nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom