nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 654
- 523
Nahitaji rafiki wa kike, hii inaweza isilete maana nzuri kwamba pengine sipo serious, ila kuna wakati unajikuta hauna neno jingine la kusema zaidi ya hilo.
And this is very serious, tangu nimekorofishana na x-girl nimejikuta nimekuwa mzito sana kuwa na urafiki ma wanawake, imepelekea kusahau how to communicate with them i need a girlfriend now than ever, and i promise to be very good friend because deep inside i know i have true love i kept that for true one, anyone with real heart may follow me to PM(private message).
Usinijudge vibaya, haya ni maisha yangu na huu ni uamuzi wangu onyo kwa wenye mapovu "usiniponde maana una maisha yako na mimi nina maisha yangu, we dont share anything" cha kuongezea mimi ni mrefu, black colour na nina mwili average body your welcome