Nahitaji rafiki wa kike, very best friend

Very ina maana kubwa sana hapo,msikurupuke,ukikosea kitu tu anakwambia nilisema VERY kwenye bango langu,pia katia msisitizo kuwa yeye ni black beauty ingawa ni mwanaume na hataki mumtukane...
Hamna,kawaida tu is not that serious

by emma mjasiriamali
 
Nahitaji rafiki wa kike,hii inaweza isilete maana nzuri kwamba pengine sipo serious,ila kuna wakati unajikuta hauna neno jingine la kusema zaidi ya hilo...
And this is very serious,Tangu nimekorofishana na x-girl nimejikuta nimekuwa mzito sana kuwa na urafiki ma wanawake,imepelekea kusahau how to communicate with them...i need a girlfriend now than ever,and i promise to be very good friend because deep inside i know i have true love...i kept that for true one,Anyone with real heart may follow me to PM(private message).
Usinijudge vibaya,haya ni maisha yangu,na huu ni uamuzi wangu....onyo kwa wenye mapovu "usiniponde maana una maisha yako na mimi nina maisha yangu,we dont share anything"
Cha kuongezea mimi ni mrefu,blackbeauty na nina mwili...average body.your welcome
Hapo umenichanga, wewe ni black beauty, halafu unatafuta girlfriend.!!!
Labda tuweke sawa, black beauty ni mwanamke au mwanamme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom