Nichek pmJamani nahitaji projector nataka kuonyesha mpira lakin sina uzoefu wa hiki kifaa naombeni elimu kuhusu brand bora,size,nasikia zinasetiwa kwa masaa maalumu hili likoje,pamoja na bei zake 0674030864. Karibuni kwa ushauri wenye kunijenga.
View attachment 1721748View attachment 1721749