mkuu simaanishi game tu!!! mbona kuna mambo mengi sana ambayo ya mwimu mnaweza fanya mkaleta maendeleo kwenye nchi inayovuja!!! na huku tukitegemea kila kitu from abroad!!! inaniuma sana mtu kutoka chuo ana first class alafu yuko mtaani anafundisha twisheni ya form one!!! hapa siongelei watu wa i.t tu hata kada nyingine!!!!Hata uishi miaka 1000 hutaweza kuitengeneza! Game kama fifa ina lines of codes kama million 4 na ww huwez kuandika hata 10000 kwa mwaka mzima! Its team work and mostly improving from past versions(bug fixing) and mordezing(quality and reality)
Kwani O-Level na H-Level calculator zao zina tofauti gani na hizi zilizopo online? UKitaka fanya biashara andika kitu unique otherwise kila siku tutazidi kupiga kelele software za wabongo hazina soko.
Ni tofauti inajumilisha, inatafuta wastani halafu inaipa kila maksi grade kama ni a, b, c na kuendelea then mwisho ina analyze hizo grade na kutoa division ya mwanafunzi kwa one click
Kizuri zaidi inapanga matokeo kiasi unaweza kuyaprint grade za mwanafunz, marks na division vikaonekana.
Imetengenezwa full optimised kwa grade za kibongo
Point yangu kubwa hapo ni utofauti lakini maelezo yako sijaona tofauti yoyote kwani almost software yoyote iliyoandikwa kwa matumizi ya mahesabu inaweza fanya kila kitu ulichoeleza hapo juu.
Mkuu hiyo calculator si calculator ya kawaida, ni software ya kufanyia calculation ya matokeo ikiwa na maana kwamba mtu anafanya kujaza marks za kila somo la mwanafunzi yenyewe itajumulisha marks, itoe average, grades, mpaka division ya kila mwanafunzi. Mwalimu anakuwa hana haja ya ku calculate hayo yeye ni kuingiza marks tu
Labda nikuulize swali, umewahi kuandika kisoftware angalau kidogo? Unaweza ukaona kitu babu kubwa kwa sababu hujui kinavyotengenezwa. Uliza mtu yeyote anayejua kucode atakwambia hiyo software haitamchukua zaidi ya saa moja kuiandika. Mfano C++ ina library nzima ya math kazi yako ni kuita function (function call) inayohusiana na hesabu unayotaka kufanya. Kupanga grade na division ni kitu kidogo sana.Mkuu hiyo calculator si calculator ya kawaida, ni software ya kufanyia calculation ya matokeo ikiwa na maana kwamba mtu anafanya kujaza marks za kila somo la mwanafunzi yenyewe itajumulisha marks, itoe average, grades, mpaka division ya kila mwanafunzi. Mwalimu anakuwa hana haja ya ku calculate hayo yeye ni kuingiza marks tu
Labda nikuulize swali, umewahi kuandika kisoftware angalau kidogo? Unaweza ukaona kitu babu kubwa kwa sababu hujui kinavyotengenezwa. Uliza mtu yeyote anayejua kucode atakwambia hiyo software haitamchukua zaidi ya saa moja kuiandika. Mfano C++ ina library nzima ya math kazi yako ni kuita function (function call) inayohusiana na hesabu unayotaka kufanya. Kupanga grade na division ni kitu kidogo sana.
Labda nikuulize swali, umewahi kuandika kisoftware angalau kidogo? Unaweza ukaona kitu babu kubwa kwa sababu hujui kinavyotengenezwa. Uliza mtu yeyote anayejua kucode atakwambia hiyo software haitamchukua zaidi ya saa moja kuiandika. Mfano C++ ina library nzima ya math kazi yako ni kuita function (function call) inayohusiana na hesabu unayotaka kufanya. Kupanga grade na division ni kitu kidogo sana.
Nimewahi kuandika, na ninaandika kwasababu mimi nasoma programming kwa hiyo unaloongelea nalielewa.
Unaweza soma ukajua kitu lakini usiimpliment hata chochote haijalishi ni rahisi kiasi gani.
Lakini mwenzake kafikiria alichosoma, akaona kwanini asijaribu kuwarahisishia kazi waalimu na watu wengine ambao hawana idea about coding ndipo aka code hiyo program.
Ni wangapi wanajua programming, na kwamba basic tasks are within libraries una zi recall.
Mkuu kutengeneza game kama la Fifa linahitaji capial kwaza kwasababu ya vifaavinvyo hitaika kaa moton capture na sensors.
Kwa mfano nilikuwa na video jinsi walivyokuwa wanatengeneza gameya need for speed black carbon. Ni team kubwa na wana capture sound za really cars zikiwa kwenye race, drifting na watu wanaigiza kweli wana capture motions na facial expressions zao.
studio zao zina advanced equipments sio laptops tu. Na kwetu sisi inakuwa ngumu kwa sababu mtu mmoja anataka atengeneze kuazia grahics mpaka coding wakati hata game dogo kama zuma halikutengenezwa na mtu mmoja
Kibongobongo mambo ya software hayalipi kabisa.
* Watanzania ni wagumu kutoa pesa (unatumia software ngapi za halali kwenye pc yako/simu?)
* Halafu wanadhani kutengeneza software ni kazi rahisi... kwa hivi juzi nimetoka kukabidhi software moja kali sana.. lakini katika development yule bosi wangu alikuwa anadhani ni kitu rahisi cha kutumia siku moja na unakuta mtu ana-request feature bila kujua what is happening kwenye background halafu malipo yanayokuja ni hela ndogo sana.
watu wanaojua haya mambo wapo na kampuni za software zipo sema huwezi jua kwa sababu zinachukua tenda na kufanya kazi za watu binafsi au makampuni na taasisi mbalimbali..
msipende kukatishana tamaa kila kitu ni kujaribu someni comment za wengine zinavyo incourage mtu kujifunza kama bwana mmoja apo juu aliposhauri aanze na simple 2D then akisha horn skills zake ataendelea kwenye photoshop nk..... tujenge utamaduni wa kumuincourage someone kujifunza!!!
Kibongobongo mambo ya software hayalipi kabisa.
kwa hivi juzi nimetoka kukabidhi software moja kali sana.. lakini katika development yule bosi wangu alikuwa anadhani ni kitu rahisi cha kutumia siku moja na unakuta mtu ana-request feature bila kujua what is happening kwenye background
ungeweka demo version pia nadhan ingeasaidia ku kick start sales!!!