Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
Tafadhali nsaidien
Tafadhali nsaidien
brother sio software 1 tu inayotumika kutengeneza games like fifa, kwanza kunakua na Motion capturing ambapo player(actors) wanavaa special suits na kuanza ku act and that is later added to players in the game, then kuna animations (mostly are done with Maya), hizi ni kwa wale Fans wa nje na some characters ambao hawahitaji motion acting like mayb ref akiwa anatoa kadi and stuff, then kuna programming hapa team of programmers wanacode what happens when you press each button, the environment wana code gravity i.e mpira urespond vp ukipigwa and all other physics stuff in the game, language zina vary but mostly hua ni C plus. Other stuff ni Sounds ambazo zina software zake, backgrounds nazo zinakua designed na software zingine. Usually kila ki2 kinakua na department(team) yake like programers wao wanacode game huku animators wanaanimate and sound tech wanarecord sounds hivo hivo before compilation. Cant be done by one guy
Tafadhali nsaidien
Mkuu kutengeneza game kama la Fifa linahitaji capial kwaza kwasababu ya vifaavinvyo hitaika kaa moton capture na sensors.Waheshimiwa Good Guy, Kang na wengine kama middlebopper...maelezo yenu ni mazuri sana kiasi kwamba hata mimi nnaejua kidogo kuhusu kompyuta nimeelewa ni kwa namna gan hizi games zinatengenezwa!!! Kinachonichanganya ni kwamba inakuaje mnajua yote haya na sijawahi sikia(wenda vipo) kuna gemu au kitu kingine kimetengenezwa hapa kwetu?? Na sisi tiwe tunangojea mtoe fifa 16 au 14!! Mnaojua na tusiojua wote tunangoja wamarekani na wazungu watengeneze na sisi wote ndo tutumie!! Sasa hapa kuna tofauti gani nyie mnaojua na sie tisio jua?? Au mnangoja siri-kali iwawezeshe!??
ni kama unamuuliza architect kwa nini anajua kudesign magorofa halafu yeye hana hata moja!Waheshimiwa Good Guy, Kang na wengine kama middlebopper...maelezo yenu ni mazuri sana kiasi kwamba hata mimi nnaejua kidogo kuhusu kompyuta nimeelewa ni kwa namna gan hizi games zinatengenezwa!!! Kinachonichanganya ni kwamba inakuaje mnajua yote haya na sijawahi sikia(wenda vipo) kuna gemu au kitu kingine kimetengenezwa hapa kwetu?? Na sisi tiwe tunangojea mtoe fifa 16 au 14!! Mnaojua na tusiojua wote tunangoja wamarekani na wazungu watengeneze na sisi wote ndo tutumie!! Sasa hapa kuna tofauti gani nyie mnaojua na sie tisio jua?? Au mnangoja siri-kali iwawezeshe!??
Waheshimiwa Good Guy, Kang na wengine kama middlebopper...maelezo yenu ni mazuri sana kiasi kwamba hata mimi nnaejua kidogo kuhusu kompyuta nimeelewa ni kwa namna gan hizi games zinatengenezwa!!! Kinachonichanganya ni kwamba inakuaje mnajua yote haya na sijawahi sikia(wenda vipo) kuna gemu au kitu kingine kimetengenezwa hapa kwetu?? Na sisi tiwe tunangojea mtoe fifa 16 au 14!! Mnaojua na tusiojua wote tunangoja wamarekani na wazungu watengeneze na sisi wote ndo tutumie!! Sasa hapa kuna tofauti gani nyie mnaojua na sie tisio jua?? Au mnangoja siri-kali iwawezeshe!??
nimekubaliana na wewe 100%!!! kinachonishangaza hata kama ukisema ni capital, unatarajia utapewa 1bil kwa mkupuo?? je wewe kama wewe ushajaribu au ushatengeneza game gani afu ukakosa capital???Mkuu kutengeneza game kama la Fifa linahitaji capial kwaza kwasababu ya vifaavinvyo hitaika kaa moton capture na sensors.
Kwa mfano nilikuwa na video jinsi walivyokuwa wanatengeneza gameya need for speed black carbon. Ni team kubwa na wana capture sound za really cars zikiwa kwenye race, drifting na watu wanaigiza kweli wana capture motions na facial expressions zao.
studio zao zina advanced equipments sio laptops tu. Na kwetu sisi inakuwa ngumu kwa sababu mtu mmoja anataka atengeneze kuazia grahics mpaka coding wakati hata game dogo kama zuma halikutengenezwa na mtu mmoja
unaposema timu kubwa una maanisha nini mkuu?? kama ni watu, je ni wangapi wapo tokea Tanzania inapata uhuru mpaka leo na kipindi chote hicho hiyo timu haijatimia??Ni team kubwa na wana capture sound za really cars zikiwa kwenye race, drifting na watu wanaigiza kweli wana capture motions na facial expressions zao.
ni sawa, siwezi kataa!! na je hilo gemu lililotengenezwa na mtu mmoja liko wapi??? kama unaweza nipatia link walau nione itakua bora zaidi!!Na kwetu sisi inakuwa ngumu kwa sababu mtu mmoja anataka atengeneze kuazia grahics mpaka coding wakati hata game dogo kama zuma halikutengenezwa na mtu mmoja
Angalia thread ya leh ya gta v. Hili game limecost kama usd 250 milion. Kama bilioni 400 za kitanzania. Hii ni budget ya wizara kwa bongo, sio kitu rahisi kaka. Waandishi wa habari wanajua siasa ila hawagombanii kila siku wao wanachambua
sitaki kukubishia na nnashukuru kwa mfano wako japo hauusiani hapa!! kwani kutengeneza game inahitaji degree progam ya nini au elimu/ujuzi gani?? na je hawa watu humu nchini hawapo?? au hayo masomo hayafundishwi na kama yanafundisha, inakuaje mpaka leo mambo yako kama yalivyo??ni kama unamuuliza architect kwa nini anajua kudesign magorofa halafu yeye hana hata moja!
[/COLOR]
hapo unamaanisha nini mkuu?? au nyie ndio waandishi wa habari??? mtuambie maana sioni nini kinaendelea?!
hilo ndilo jibu mengine mbwembwe!!! naamini wataalam wa kompyuta wapo wengi sana humu nchini, lazima tukubali ukweli na tuache visingizio mara najua afu kuteneza sijui sasa mnajua nini??? maswala yakuwekea watu windows na kuformat pc i mambo yalishapitwa na hata mtoto wa la saba anaweza fanya iyo kazi, embu tuamke wakuu maana hili tatizo sio kwa wataalamu kompyuta tu na wengine pia wanahusika kila mmoja katika nafasi yake.Ninachomaanisha si kila anaejua kitu fulani anaweza kifanya, naweza nikawa naijua smartphone ndani nje hii haimaanishi naweza kuitengeneza. Kuna watu wanaujua mpira kina shafii dauda na edo kumwembe haimaanishi wanajua kucheza.
Ndio kama hao hapo juu wanajua game linatengenezwaje ila hawajui kulitengeneza
Waheshimiwa Good Guy, Kang na wengine kama middlebopper...maelezo yenu ni mazuri sana kiasi kwamba hata mimi nnaejua kidogo kuhusu kompyuta nimeelewa ni kwa namna gan hizi games zinatengenezwa!!! Kinachonichanganya ni kwamba inakuaje mnajua yote haya na sijawahi sikia(wenda vipo) kuna gemu au kitu kingine kimetengenezwa hapa kwetu?? Na sisi tiwe tunangojea mtoe fifa 16 au 14!! Mnaojua na tusiojua wote tunangoja wamarekani na wazungu watengeneze na sisi wote ndo tutumie!! Sasa hapa kuna tofauti gani nyie mnaojua na sie tisio jua?? Au mnangoja siri-kali iwawezeshe!??
Siiyo kwamba kwa vile wameeleza jinsi ya kutengeneza hizo game ukafikiri ni kitu rahisi.Waheshimiwa Good Guy, Kang na wengine kama middlebopper...maelezo yenu ni mazuri sana kiasi kwamba hata mimi nnaejua kidogo kuhusu kompyuta nimeelewa ni kwa namna gan hizi games zinatengenezwa!!! Kinachonichanganya ni kwamba inakuaje mnajua yote haya na sijawahi sikia(wenda vipo) kuna gemu au kitu kingine kimetengenezwa hapa kwetu?? Na sisi tiwe tunangojea mtoe fifa 16 au 14!! Mnaojua na tusiojua wote tunangoja wamarekani na wazungu watengeneze na sisi wote ndo tutumie!! Sasa hapa kuna tofauti gani nyie mnaojua na sie tisio jua?? Au mnangoja siri-kali iwawezeshe!??