PANZI DUME
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 173
- 157
Kwa yeyote atakayeweza kunisaidia kupata piston ya ZOMAX ZM-720 Chain Saw anisaidie, nimejaribu kutafuta Maduka ya Kariakoo, Kisutu na Gerezani bila mafanikio.
Kwa yeyote atakayeweza kunisaidia kupata piston ya ZOMAX ZM-720 Chain Saw anisaidie, nimejaribu kutafuta Maduka ya Kariakoo, Kisutu na Gerezani bila mafanikio
1,800,000 TshInauzwa sh. Ngapi io chain saw
Au mnasemaje mods wa JF