mchongo uwe uhakika tu hayo mengine niachie mmutaweza masharti sasa😎
Umeng'oa break 😂mchongo uwe uhakika tu hayo mengine niachie mm
sina hata kiwanjaUna hati ya nyumba?
😂Kama marinda ni mapya jaribu kuongea na mzabzab
life ngumu kakaUmeng'oa break 😂
Mpaka hapa umesha feli mashart mkuu.. 😋😋😋.hakuna muda wakupoteza
nahitaji pesa zachap chap .yan ndani yamuda mfupi maisha yangu yawe good.
Nahitaji wazee wa connection mnishike mkono kijana wenu
NOTE; kwenye hili niko serious zaidi ya unavyodhani
jamaa nikama wale wanaosubiri mkate kwa shemeji😅 😅 😅 Aise
sawa nipe codeMpaka hapa umesha feli mashart mkuu.. 😋😋😋.
Mbona kinyonge? Shida yako imeisha?sawa
Bado unaonekana kabisa Huwezi kujikana nafsi yako,sawa nipe code