Nahitaji nyumba ya kupanga haraka sana Iringa

Nahitaji nyumba ya kupanga haraka sana Iringa

mtanzalendo

Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
74
Reaction score
121
NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka sana. Sifa zake ni vyumba viwili na sebule kimoja. Nyumba iwe kati ya Wilolesi , Lugalo, Kihesa , Mkwawa, Gangilonga , Ilala ,Frelimo, Makorongoni ama Mshindo Kodi yake isizidi zaidi ya 200,000 kwa mwezi mteja anataka kulipa kodi ya miezi mitatu kwa mara moja au miezi 6.

iwe kwenye muonekano mzuri ndani ya geti na ijitegemee.


Angalizo: hatuhitaji dalali tunataka mwenye nyumba mwenyewe kuwasiliana nasi. kama una nyumba yenye sifa hizo wasiliana kwa PM.
 
Wenye Nyumba wengi huku Iringa hawapo JF na wala hawajui kuwa it exist.

Kama vp madalali waingie kazini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom