Nyumba ya kupanga inahitajika Mbezi Beach

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,063
299
Iwe na vyumba vya kulala vitatu, pia nyumba ndogo ya mfanyakzi .

Kama unayo tuma picha na maelezo yake kwa njia ya whatsapp 0784225000 au email: info@kitomai.com bajeti tshs 2,200,000/= kwa mwezi.

Tahadhari: iwe nyumba ya chini. Kama ikiwa ya ghorofa iwe na chumba kikubwa chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom