Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,137
- 365
Iwe na vyumba vya kulala vitatu au vinne. Kiwanja chake kiwe na hati miliki. Iwe katika maeneo ya Boko, Bunju, Ununio au Mbweni Beach. Kama unayo nitumie picha na maelezo kwa whatsapp 0784225000 au katika barua pepe info@kitomai.com