Scared JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,848 Reaction score 17,506 Sep 12, 2024 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,708 Sep 12, 2024 #2 Ugonjwa wa akili is real
E Enter Passcode JF-Expert Member Joined Mar 1, 2024 Posts 479 Reaction score 962 Sep 12, 2024 #3 Lazima masaki, nichek mkuu
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 4,609 Reaction score 14,178 Sep 12, 2024 #5 Kuna thread ya madalali wa nyumba humu itafute mkuu watakusaidia
Scared JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,848 Reaction score 17,506 Sep 12, 2024 Thread starter #6 ngosha wa mwanza said: Kuna thread ya madalali wa nyumba humu itafute mkuu watakusaidia Click to expand... Poa mkuu
ngosha wa mwanza said: Kuna thread ya madalali wa nyumba humu itafute mkuu watakusaidia Click to expand... Poa mkuu
Scared JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,848 Reaction score 17,506 Sep 12, 2024 Thread starter #7 Enter Passcode said: Lazima masaki, nichek mkuu Click to expand... Poa nakucheki mkuu