kipenga
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 219
- 55
Habari Wakuu mbalimbali...
Nahitaji gari aina ya Nissan Dualis kwa budget ya 13.5 - 14 M. . Napendelea Nyeusi but kama ipo rangi tofauti na hiyo pia ni sawa .
Waweza nitumia picha na details zake PM au hapa kwenye comments
Nitafika na fundi wangu kuikagua.
Gari iwe katika hali nzuri.
Low Mileage
Location iwe Dar au Mwanza
Shukran [emoji120]