Nahitaji namba ya simu ya mh Kikwete

Nahitaji namba ya simu ya mh Kikwete

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
1,201
Reaction score
515
Tafadhali ndugu
Naomba mwenye namba ya mheshimiwa Rais Kikwete anipatie, nitashukuru sana
 
Kwa akili yako unadhania Rais wa nchi ni sawa na Babu?

Anyway , ngoja nikupe hiyo namba labda utakuwa una shida ya maana ni 0764150747
 
tunaomba utoe sababu za kwa nini unaihitaji ndiyo upewe hii kwa sababu za kiusalama kwa rais wetu

kumbuka kuwa unatumia ID tu na si jina halisi
 
Tafadhali ndugu
Naomba mwenye namba ya mheshimiwa Rais Kikwete anipatie, nitashukuru sana

Ha ha ha ha.Unataka namba yake ya nini isije ikawa unataka kutimiza unabii wa TB Joshua.
 
Kwa akili yako unadhania Rais wa nchi ni sawa na Babu?

Anyway , ngoja nikupe hiyo namba labda utakuwa una shida ya maana ni 0764150747

Umenunua simu mpya? Unataka iite kila wakati na umeweka wimbo wa komba
 
Namba ya nini we mvizie terminal one pale kwa wiki humkosi
 
Even if we give you, He is not reachable. He always put his phone on Flight Mode when he is on a plane. Mzee wa safari.
 
Back
Top Bottom