Nahitaji namba ya simu ya mh Kikwete

Nahitaji namba ya simu ya mh Kikwete

Nenda mzimamzima magogoni sidhani kama utarudishiwa getini ila nasikia kuna mlolongo wa ofisi unazopitishwa na ile ofisi ya mwisho kabisa ili uruhusiwe kumuona ambayo imepakana na ofisi yake nasikia hao jamaa wako 'exempted from the law' wanaweza kukufanya chochote na hakuna kesi
 
JK utampata wapi muda wote yuko kwenye kitu cha mwewe, utafikiri ni serious business kumbe anaenda kupiga picha na fifty cent.
jk 50.jpg
 
Kwa akili yako unadhania Rais wa nchi ni sawa na Babu?

Anyway , ngoja nikupe hiyo namba labda utakuwa una shida ya maana ni 0764150747


Mkuu mbona unamponza mwenzio tena, unataka afanyiwe nini? Ulishamuonya kuwa rais wa nchi si Babu na unampa namba ya Vicky Kamata ili iweje sasa? Unataka mwenzio afunguliwe mashitaka halafu asweke rumande maisha ili uje umcheke kuwa alijifanya anajuwa, si vizuri mkuu, kuwa muungwana.
 
Duuh ,jf imevamiwa na makuli kweli,kila mtu na lwake ilimradi tu kaandika
 
Back
Top Bottom