Nahitaji mwenza wa maisha.

Mimi ni mwanamke nadhani jina limejieleza vya kutosha. I'm very serious msione natania hapa.
Hadi nimefikia kuweka thread ujue nipo serious,nahitaji mwanaume ambaye yupo serious.

Kuna baadhi wametuma PM zao wanataka niwe mke wa pili, mie sipo tayari kuwa mke wa pili ndio maana nipo tayari hata kubadili dini niwe mke pekee kwa huyo atakayekuja kuwa mume wangu. Kama una mke tayari wala usijihangaishe kutuma PM.
 
Sista sophia! Hii ni habari nzuri kwangu pia, mimi mwenzio umri unakwenda kama wewe ila kwa sasa nipo busy na shule. Nitafute kwenye PM basi tuongee mambo ya maana.
 
Mimi ni mwanamke nadhani jina limejieleza vya kutosha. I'm very serious msione natania hapa.
Hadi nimefikia kuweka thread ujue nipo serious,nahitaji mwanaume ambaye yupo serious.

Kuna baadhi wametuma PM zao wanataka niwe mke wa pili, mie sipo tayari kuwa mke wa pili ndio maana nipo tayari hata kubadili dini niwe mke pekee kwa huyo atakayekuja kuwa mume wangu. Kama una mke tayari wala usijihangaishe kutuma PM.

Nakusifu sana Sophia kwa kuwa na msimamo na kutaka kile utakacho na kama hutaki kuwa mke wa pili basi huna haja ya kufuata njia hiyo. Kila la heri.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=uesdoK4Mji4"]YouTube- Toni Braxton - I Don't Want To[/ame]
 
mie nitaendelea kupinga mambo ya kutafuta wachumba kwenye mitandao milele.siamini kabisa na huwa inanicha na maswali mengi sana.

haiwezzekani mtu ukashindwa kupata umpendae kwenye jamii iliokuzunguruka kwenye maisha yako ya kila siku mpaka ukajaribu kwenye mitandao.

hili swala ni zito na huwezi kuchagua mtu ambaye unataka kuishi nae mielele kama unavyochagua nguo dukani.
 
Kama unaweza ukamuacha MUNGU wako............. huyo mume si utamuacha pia......???

Ngalikihinja
Mbona mi sioni aliposema anamuacha Mungu wake, alichosema ni kuwa anaweza kubadili dini lakini si kumkana Mungu wake.
Tumuunge mkono kama kweli anatafuta mwenza ni wazo zuri na anahitaji pongezi.
 
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.

>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo.

>Elimu atleast awe na bachelor, mimi nina masters.

>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.

Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.

Ungejaribu kuchungulia kwenye www.wabongomeet.blogspot.com huenda ukabahatisha pale.
 
Hivi hawa wanaotafuta wachuimba humu wako serous? I 100% daught that!!! Inamaana mwenye hivyo vigezo akija unamkubali sio? I have my big bro bado hajaoa na vigezo hivyo anavyo ni Pm no. yako ya tigo nimpatie atakupigia!!

Vivian taratibu dada
mitandao yote iliyopo wewe umeona TIGO tu
mnafahaamiana nini? we umejuaje kama ana TIGO
 
Mimi ni mwanamke nadhani jina limejieleza vya kutosha. I'm very serious msione natania hapa.
Hadi nimefikia kuweka thread ujue nipo serious,nahitaji mwanaume ambaye yupo serious.

Kuna baadhi wametuma PM zao wanataka niwe mke wa pili, mie sipo tayari kuwa mke wa pili ndio maana nipo tayari hata kubadili dini niwe mke pekee kwa huyo atakayekuja kuwa mume wangu. Kama una mke tayari wala usijihangaishe kutuma PM.

lakini dini uliyonayo inakuruhusu kuwa mke wa pili au hata wa nne, kwani kuna ubaya gani kuwa mke wa ziada wakati mwenyezi MMungu kesharidhia na kaona inawork out?
 
Wewe dada Sofia wengine tumeolewa tukiwa na 40 wala hatukuhofu umri kukimbia .. sasa tunaonja maisha katika mwanga bora .....
heheheh hapa JF utampata tu mwenza wako usihofu..
lakini pia usisahau kuomba upate mme mwema

nimechelewa kuingia humu ila ukweli ni kuwa unachosema ni probability. Dadaangu huyo akiona vipi atafute mwanaume wa chaguo lake na azae nae japo mtoto mmoja bila kuhusisha masuala ya ndoa. Wengi tu wako hivyo
 
Let us not treat women as beings of less value. Hii opinion/advise is quite low ndugu yangu.
 
Ahsanteni sana mliotuma maombi, msione kimya nilikuwa busy kidogo na kazi.Maombi yenu nayashughulikia moja baada ya moja.

Kumbe jamii forums kuna wanaume wapo single tu wengi, hivyo wanawake wenzangu kama na nyie mpo single mnaweza kuweka bandiko lako hapa utapata tu maana nimeona wanaume wengi wapo single.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom