Nahitaji mwenza wa maisha.

wa nyongeza B au nimeingia ndani sana.......????

dah umeingia ndani sana B! LOL....honestly my point is hapa mtu anatafuta mchumba ana post 6 kisha mzoefu? over my dead body!:D
 
dah umeingia ndani sana B! LOL....honestly my point is hapa mtu anatafuta mchumba ana post 6 kisha mzoefu? over my dead body!:D

and who takes them seriously anyaway!!!!!!!!!!
mambo mengine B utazame tu ujikalie zako kimya....
 
and who takes them seriously anyaway!!!!!!!!!!
mambo mengine B utazame tu ujikalie zako kimya....

B ngoja nitoke zangu hapa sasa nikaangalie angalie huko leo ijumaa ujue:rolleyes:.....
 
dah umeingia ndani sana B! LOL....honestly my point is hapa mtu anatafuta mchumba ana post 6 kisha mzoefu? over my dead body!:D
hehehehe,umeonae?.icije ikawa ni Iribini kaleta id nyingine maana babushka yule kwa kudumisha mila hawezekani.ndio maana nataka niende usukumani.
 
worry not B

Sasa ndo ujiandae kuwa na wageni wasiokauka hommie kwako B, ndo maua yenyewe ya boga lako hilo!
Usinisahau kwenye msafara hommie!

Sipendi kabisa mkubwa, mtandao huo uko cheap but very unreliable! :)
tiGo siyo reliable? Siamini!

hommie mi mzalendo natumia TTCL mobile!:D

kwa nini unatumia tiGo hommie?
Kwa sababu ni mtandao unaokupa vyote, pamoja na kujiexpress.

Kaizer i miss youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Eti? Unataka kupigwa wewe?

Miss you too carmel....hebu endelea kutafuta basi ka avatar kengine ee baby
Sorry, sikujua. Kila la kheri

sina tatizo kabisa na hilo
ila dada zao wabehave tu, sitaki mawifi wagombanishi mie a.k.a wenye gubu..............
:confused::confused:

I am on break i gues.
Mi simo!
 
hehehehe,umeonae?.icije ikawa ni Iribini kaleta id nyingine maana babushka yule kwa kudumisha mila hawezekani.ndio maana nataka niende usukumani.

Kwa hapa kwa kweli ntahitaji maelezo baada ya kupata bia kadhaa!
 
Hivi hawa wanaotafuta wachuimba humu wako serous? I 100% daught that!!! Inamaana mwenye hivyo vigezo akija unamkubali sio? I have my big bro bado hajaoa na vigezo hivyo anavyo ni Pm no. yako ya tigo nimpatie atakupigia!!


Kazi kweli kweli!
 
Hey Sista Sophia, niko hapa nina vigezo vyooote ulivyotaja. Nitume private message ili nami nikuambie nataka vigezo gani. Serious. Ok?
 
Mungu ameniletea kwenye JF hata juzi nimekataliwa na mchumba tatizo langu mimi mhaya kama utaweza kuendana na utamaduni wao tuwasiliane mapema na mimi ni mfuasi wa dini hiyihiyo na nina kadegree ka uhandisi kamoja.
 
Sorry sijasoma maelezo ya wote lakini kwani yule wa jana mliishiana wapi maana nae si alikuwa anatafuta jamani:)
 
Yale yale,mambo ya vigezo.Awe na angalau bachelor mimi nina masters.Dia wewe bachelor ya unayemtaka itakusadia nini katika mapenzi yenu?
 
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.

>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo.

>Elimu atleast awe na bachelor, mimi nina masters.

>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.

Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.

.
Ukimpata asie amini Mungu je?, kua na msimamo sister dini sio nguo.
 
Sijaona alikogusia kuhusu kupima HIV a.k.a ngoma. Au kwa kuwa kuna utata kuhusu 'mwenza' anayetafutwa, tuchukulie pia kwamba ngono haitakuwepo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom