The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,289
- 122,108
Hoja yangu hiyo nimeiweka coz ya umri wa mleta mada,haimaanishi kua inafanya kazi pia kwa Mwanaume mwenye umri mdogo na mwanamke mwenye umri mdogo.Asante sana bwana ice, kwa mara ya kwanza umenielewa.
Bwana huyo with no money!!! Mungu anajibu maombi halafu unakataa??? Tumpegie mwamposa simu muumini wake analeta taharuki.Siwezi🙌🏾
DaahWe ndo nikupe mpwa wangu bule kabisa unipunguzie matatiza apa nyumbani....
,😀😀Bro umefikiwa. Ole wako uzingue! 😂😂😂
Leo jumapili sitaki dhambi, lakini mwanaume bila hela sio mtamu kabisa.Hoja yangu hiyo nimeiweka coz ya umri wa mleta mada,haimaanishi kua inafanya kazi pia kwa Mwanaume mwenye umri mdogo na mwanamke mwenye umri mdogo.
Najua unataka kuniingiza kwenye ule mtego wako.
😀
Mimi bila ela siwezi! Tutasumbuana tu😂Bwana huyo with no money!!! Mungu anajibu maombi halafu unakataa??? Tumpegie mwamposa simu muumini wake analeta taharuki.
Nina hakika ujumbe atausomaMimi bila ela siwezi! Tutasumbuana tu😂
Akipata ela anitafute tusukume hili gurudumu wote🤭
Seran,, we njoo bibie. Pesa ngapi kwani?Nina hakika ujumbe atausoma
Kabla ya yote uninunulie jet tour T1Seran,, we njoo bibie. Pesa ngapi kwani?
Leo anazingua sana,Mie sijaona lakini nimefuatilia tangu mlipoanzia huko juu 🤦♀️
Unataka kumpigia ili akupatie mdogo wake umnyooshe leo dada eti?
Leo anazingua sana,
Nilisha mwambia anitafutie toto la kisukuma,
Zimebaki siku kadhaa tu tulifanyie ''Birthady'' ombi langu ila mpaka sasa ni hola!
Kama hamumuelewi na hamnyooshi maelezo kwa The Icebreaker mi nimpe mdogo wangu.Mie sijaona lakini nimefuatilia tangu mlipoanzia huko juu 🤦♀️
Unataka kumpigia ili akupatie mdogo wake umnyooshe leo dada eti?
Kama hamumuelewi na hamnyooshi maelezo kwa The Icebreaker mi nimpe mdogo wangu.
Unajua ukoo mzima hakuna aliyeenda majuu sasa bora tutoe mkosi na tuhaidi kumpa mahaba ya kiswahili ndani ya ulaya.
Utafanya jambo la maana sana coz huyu BICHWA KOMWE - ni kama ananipotezea muda tu.Kama hamumuelewi na hamnyooshi maelezo kwa The Icebreaker mi nimpe mdogo wangu.
Unajua ukoo mzima hakuna aliyeenda majuu sasa bora tutoe mkosi na tuhaidi kumpa mahaba ya kiswahili ndani ya ulaya.
Kama uko siriaz sema unyofoe bikra kwa mara ya kwanzaLeo anazingua sana,
Nilisha mwambia anitafutie toto la kisukuma,
Zimebaki siku kadhaa tu tulifanyie ''Birthday'' ombi langu ila mpaka sasa ni hola!
Kwa umri huo wewe sasa ni mhenga. Nakushauri: tafuta mshangazi wa maana uuweke ndani.Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
Kila mara unaniuliza swali lile lile tu,Kama uko siriaz
Unajuaje kua itakua ni mara ya kwanza?sema unyofoe bikra kwa mara ya kwanza
Kivipi yani?
Basi sawa subiri majibu.Kila mara unaniuliza swali lile lile tu,
Unajuaje kua itakua ni mara ya kwanza?