Nahitaji mwanaume,umri 30-36

Nahitaji mwanaume,umri 30-36

Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafiki yangu mpenzi mume wa maisha na katika maisha.

Awe mkristo, awe anajitambua kama mwanaume halisi, awe na mwili wa kawaida asiwe mwembamba, asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote mwanaume atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

ok kama hujapata hebu ni sms 0755485448
 
Jambo jema dada,sasa cfaham kama takufaa mie maana bado cjajenga hata kbanda,bado nasoma;kama inawezekana bas nambie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom