Wapo wengi tu mkuuDuh hivi kuna wanawake wanafikisha miaka 30 hawajaolewa?
Utapata, kila la heri
Mbona unacheka 35 kwa nini?Eeeh!! 35 Tena....?🤣
Ka avatar kako kazuri eeeet.Utapata, kila la heri
Ngoja waje tuUmewachokoza ma single mother…. Watakufwata kama wote😂😂
Nimeamini uko serious,Mungu akupe mke sahihiBado uko kwenye margin. Karibu
hata kako kazuriKa avatar kako kazuri eeeet.