Pole kaka, kwa bahati mbaya Dunia ya Leo UNAWEZA kufa watu wanakurekodi, badala wakusaidie, ndo maisha, UNAWEZA Kuta uko serious ila watu wanakichukulia poa, jichanganye mkuu, humu sikushauri Kuna watu nilishindwa kuwaelewa I'd mwanamke ila ukisoma chat inavo andikwa mwanaume Tena jitu na familia yake, ji changanye TikTok, ig, fb, pisi kibao Malaya, waungwana, mshangazi, watoto wa buk mbili, Wapoole zile wife material kibao, hi ni wewe tu jichanganye mkuu nilipata demu ambaye sikuwahi kufikiria kumpata kimasihara, demu mzuri nikamuita bongo akaja Tena nauli kajilipia mwenyewe ama kweli DHARAU nilizo kuwa nazo juu ya TikTok ziliisha nilitamani kusalimia kila member wa TikTok asee, trako hilooo kifu kidogoo, si mweupe rangi ya kahawia kama chocolate Fulani hiv ACHA mkuu nilifukuzwa kazi, niliogopa taibiwa Mzee acha TU, umenikumbusha mbali hapo ndo nilipata wazo la kwenda kuishi visiwa vya mafia huko mpaka kifo, ni Bata tu mkuuuuu
Fullstop, kwishaaaaaa