Nahitaji Mwanamke wa kuoa Serious

Nahitaji Mwanamke wa kuoa Serious

Atukuzwee

Senior Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
150
Reaction score
281
Habari kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji mke wa kuoa. Nilishakua na mahusiano huko nyuma ila kuna mambo yalitokea mengi tukaachana ila sijawahi kuoa wala sina Mtoto. Ukiwa interested karibu

Sifa zangu

ELIMU: Degree.
Kazi: Network administrator
Umri: 33
Location: Dar
Rangi: Black

Sifa za nimtakaye

1. ELIMU: kuanzia Diploma
2.Asiwe na Mtoto zingatia hili sana maana mimi sina.
3.Umri usizidi miaka 27
4. Awe anaishi Dar au Arusha
5.Dini yeyote ila Angekua mkristo independent zaidi.

Karibu PM seriously only maana mimi niko serious Pia kama hauko interested please fanya kama hujaona huu uzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom