Nahitaji mwanamke wa kimasai

Wale huwa hawaolewi na waswahili, wanaoana wenyewe kwa wenyewe ila wanaume huoa waswahili pia. Labda uumpate mmasai msomi aliyeachana na mila zao japo huwa hawaachi mila zao pamoja na usomi wao. Huwa hawana ubaguzi linakuja suala la mapenzi mswahili hukubaliwa ila kuoa ni shughuli pevu
 
Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
Ukubali matokeo. Ukikuta ambaye hajakeketwa,uniambie.
 
Kuna mmoja yupo hapa kijiweni anauza uza dawa za mizizi, vipi atakufaa?
 
Ndugu niunganishe na mrangj wa kondoa
 
Wamasai si ndiyo huwa wanakeketwa alafu wanakuwa hawana hisia🤔
 
Ndugu niunganishe na mrangj wa kondoa
Tafuta mwenyewe mkuu😆. Warangi Nao ni wazuri, na wana upendo, kuna mmoja nilimvunja bikra wakat nipo Dom, sema sikuwa tayar kuoa time iyo nikambwaga, sio wabaya kaka
 
Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
WEka namba hapa nikuuzie. Mie nipe nusu ya hao ng'ombe.
 
Umejaribu wahangaza?
 
Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
Ngombe kumi standard ya ndama 800,000
Kwa kumi milion 8

Upo vizuri
 
Wanaoana
Ila wa mjini mjini
Hao wandani sijawah ona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…