Karibu.Asante sana!
HaswaUchoraji wa vitu gani
Nenda hapo Nafasi Artspace Mikocheni au pia Vipaji Art Gallery,OysterbayFika pale nafasi Aert Gallery mikicheni watakupa msaada mzuri tu mana wanafundisha Arts.
mwanangu mimi sijui kabisa utanisaidiaje?Nitafute ayseee, me ni noumah kwa kuchora....na nimesomea pia, naweza hata kukufundisha mbinu chache za uchoraji bure bila malipo...sabab napenda kuwasapoti wachoraji wenzangu