Nahitaji Mume Muislam

Nahitaji Mume Muislam

Mimi nina 27,na sifa zote ninazo ulizotaja kasoro hiyo ya umri.
 
Mkuu...
Naomba nibadili dini kesho please .
Hapa naona fursa nje nje, yaani naona kabisa kama panzi amedondokea kwenye fungu la siafu.
Kama ni kisu, nahisi kimechoma mfupa.
Naona wewe ndio moyo mashine yangu kabsaaaaa
 
Aisee kwel huna hata chura wa kuwatishia wanaume waoga huko kitaan kwako? Hebu jiulize adamu wako bado hajazaliwa au alibebwa na Upepo? Unataka muislamu? Ww kwanza hata kwa mada yako hii n dhair kuwa huna maadil ya kiislamu. Mungu akuponye hilo pepo la ngono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom