min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,068
- 126,697
Hiyo picha niliona kwenye warembo wa huko sudani kwenye parody moja huko x pia.Mkuu mbona kwenye hiyo picha aliyoifuta kanaonekana bado ni kasichana tu kwa kumkadiria havuki 28.
Hiyo picha niliona kwenye warembo wa huko sudani kwenye parody moja huko x pia.Mkuu mbona kwenye hiyo picha aliyoifuta kanaonekana bado ni kasichana tu kwa kumkadiria havuki 28.
28 kwa mwanamke ni sawa na 38Mkuu mbona kwenye hiyo picha aliyoifuta kanaonekana bado ni kasichana tu kwa kumkadiria havuki 28.
Hiyo picha niliona kwenye warembo wa huko sudani kwenye parody moja huko x pia.hiyov
Hata wewe utakuwa dume JF hamna mwanamke
Kibongee habariHahah mjini mipango,
Fisi. 😅😅Serious anatafuta tu mmoja aende Kichwa Kichwa amnyooshe😀😃
Weeee.28 kwa mwanamke ni sawa na 38
😂😂😂 mshangazi mimi sio dumeHata wewe utakuwa dume JF hamna mwanamke
Rafiki naina umepiga mule mule. LolNina wasiwasi huyu mleta uzi anazo id zaidi ya mbili na zote kajoin btn 23 march mpaka 1 April. Na nyuzi zake ni zilezile anatafuta mume na pichazake anazoweka ni hizohizo kwenye mabandiko yake yote Zeena Salum Saffiyyah Ramadhan mrembomzuri
Na usikute ni dume yuko kimkakati humu
My dear kuna wabobevu eti. Hao hawakoseagi. 😅😅😂😂😂 mshangazi mimi sio dume
Sio rahisi kuvaa jinsia isiyo yako, kuna muda utakosea...
Duuh!Hiyo picha niliona kwenye warembo wa huko sudani kwenye parody moja huko x pia.
Kabisa mwanamke ni mmoja tu kama sio wawili. 🤣🤣Hata wewe utakuwa dume JF hamna mwanamke
Hiyo inaitwa kwa mkapa hatoki mtu.Kabisa mwanamke ni mmoja tu kama sio wawili. 🤣🤣
Kuna kasauti kananiambia I'd ya kiume hii.
View attachment 3297521