Nahitaji mume miaka 40-75

Nahitaji mume miaka 40-75

Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 45-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp 0711-297 086.

NB: KAMA HUNA MIAKA 45-75 USINITAFUTE.
miaka 40-75 huyo si lazima tayari ana mke? maana kama hana it means hayajui majukumu yake au labda awe mgane (RIP mkewe)😎
Anyway, mimi nina 31, nikikutafuta hatuwezi kuyajenga?
 
miaka 40-75 huyo si lazima tayari ana mke? maana kama hana it means hayajui majukumu yake au labda awe mgane (RIP mkewe)😎
Anyway, mimi nina 31, nikikutafuta hatuwezi kuyajenga?
Kaweka namba hapo mkuu , hii mbinu ya kupondea wenzako ni yakizamani sana lakini🤔
 
Wewe binti wewe muogope Mungu..... unataka kutufanya nini sisi wazee tushajichokea......
FB_IMG_1743304508296.jpg
 
Binadamu akituliza akili vizuri anaweza gundua jambo bila hata kuona ,mimi kuna I'd hata sura zao nazifahamu kwa hisia tu , na kuna baadhi nilikuja kufahamiana nao nikapatia😁😁😁
Kwaiyo kazi maalumu? 😄
 
Post nyingi za kwenye hili jukwaa ukisoma comments zake utaona zimejaa hisia tofauti kiasi cha kufanya lengo la post yenyewe lipotee.

Maxence Melo hili jukwaa nadhani kuna haja ya kuliboresha zaidi kwa maana limebeba hatua kubwa ya maisha ya watu ila liko too blogging kama ilivyo kwa majukwaa mengine ili hali haikutakiwa kuwa hivyo.

Kwa maana watu wanatumia hiyo loophole kufanya mzaha na pia inajaza unnecessary threads ambazo pengine mkiliboresha zinaweza kupungua.

Ushauri ni kwamba, badala ya kuliacha liwe la title and description nadhani ni vyema kuwe na option ya kumruhusu muhusika aweke taarifa za kina, ambazo zingine zitabaki kwenu na huku tutapata title na description kama kawaida ila mpaka mtu Uzi wake ufike huku tunakua tunajua kuna mchakato fulani ameupitia ili kuaprove uhalisi wa taarifa zake(hasa jinsia kwa maana mashaka mengi huwa yako hapa).

Pia ongezeni kipengele cha kumatch ili kiweze kusaidia kupunguza hizi nyuzi kuja kwa kujirudia rudia, kwa maana kuna watu wanapost nyuzi ambazo unakuta karibia asilimia sabini ya vigezo vyao vinafanana, sasa badala ya kuacha nyuzi ziendelee kujaa Bora muwe mnawamatch hata huko juu kwa juu ili wamalizane huko huko.

Hii itapunguza kutokuaminiana baina ya wanajukwaa, kwa maana kuna wengine wako serious na utafutaji ila wanashindwa kuaminika kutokana na uvurugwaji unaofanywa na wale ambao hawako serious.

Kwahiyo hii inawafedhehesha wale ambao wako serious pindi wanapoweka nyuzi zao halafu wanakutana na comment za kuonesha kwamba hawako serious lakini pia kupunguza unnecessary scamming.

Au kama vipi lifanyeni hili jukwaa liweze kupima thamani ya madaraja kuanzia member, senior, expert to platinum, kwa maana ya kwamba option ya kuandika Uzi wenye mlengo huu kwenye jukwaa hili ianzie kwa expert members na kuendelea, labda inaweza kuongeza userious kidogo.

Anyway, just ushauri tu japo naelewa vitu kama hivi navyo vinaleta ladha ya jukwaa na kufanya paendelee kuchangamka hasa watu wanapopata mgagaziko wa kiutambuzi hufanya malumbano yazidi kuwa ya kufurahisha zaidi.
 
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp 0711-297 086.

NB: KAMA HUNA MIAKA 40-75 USINITAFUTE.
Yaani umekuja kufanya utapeli Live live 😅
Ulikuwa wapi kuolewa zamani?
😅😅😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom