Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,139
- 9,552
Hawa wajinga huwa wanaokota okota picha waje wadanganye hapa watu wawapige pesa.
Eti anatafuta mume,Hawa wajinga huwa wanaokota okota picha waje wadanganye hapa watu wawapige pesa.
Mkuu profile yako 😅Nyoko kwisha habari yako
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 40-75 USINITAFUTE.
HatariHuyu ni mwanaume ila anajifanya mwanamke. Hizi picha kaziokota huku
View attachment 3301589View attachment 3301590
Acha utapeliAssalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.