Lakini mwanangu huyu dada ni mzuri kwnini asiishi na sisi? Halafu anajua kupika chakula kitamu
baba mzuri mimi sitaki tena anlingana na mimi utaamishia mapenzi kwake unisahau mwanae mi sitaki..
Haya basi mwanangu mzuri, okey?
sifa:
- awe na hofu ya Mungu na anayeheshimu wazazi pia.
- awe na hela
- awe na mawazo mazuri na anafikiri mbali siyo urefu wa pua yake
- awe anajitambua
- awe anajipenda ana kupenda jamii inayomzunguka
- awe anapenda watoto.
- awe anajua kucheza michezo yote
- awe anaweza kunifanya nifurahi mda wot
- awe anajua kubembeleza
- awe na huruma
- awe ananibeba nikitaka kubebwa
- awe ananidekeza
- awe ananipa hela though si lazima
- awe funy na awe rafiki pia
Watu wengi hili hawalijui au wanapuuza!
Kama mume wako si rafiki, usishangae mkatembea hata kilometa pamoja bila hata kusemeshana!
Uhusiano wenu unakuwa 'too formal'!
Hakuna ndoa hapo ni kwamba mlikidhi matamanio ya miili tu!
money oriented mind ...... pole^^
Mwenye pesa
Anaekuridhisha
Hana kibamia
Mcha Mungu
Msomi
Mpole daima
Anaejitegemea
Mwaminifu
Handsome
Anaekubalika kwa rafiki zako
Mkweli
Mtunza familia
Anaejali hisia zako
...
ANAKUJA DADA, usiwaze
^^
sifa:
- awe na hofu ya Mungu na anayeheshimu wazazi pia.
- awe na hela
- awe na mawazo mazuri na anafikiri mbali siyo urefu wa pua yake
- awe anajitambua
- awe anajipenda ana kupenda jamii inayomzunguka
- awe anapenda watoto.
- awe anajua kucheza michezo yote
- awe anaweza kunifanya nifurahi mda wot
- awe anajua kubembeleza
- awe na huruma
- awe ananibeba nikitaka kubebwa
- awe ananidekeza
- awe ananipa hela though si lazima
- awe funy na awe rafiki pia
Kona bar sinza
Ndio ipo wapi?naisikia tu INA nyama choma nzuri
pale afrikasana hapo mkuu kuna kuku wa kuchoma watamu acha kabisa njoo basi na hela ya bia mimi sina hela sa kumi na mbili hivi nitakuwa nimefika
Kona bar sinza
Mbona umekaa kifedha fedha anyway nikija hapo suala la kuchangia gharama halikwepeki nikizungusha round inyofuata lazima uzame kwenye pochi ha ha ha ha ha.
Nitakuja but sitakutafuta,mambo ya kufumaniwa noma