Nahitaji mtu ambaye yuko serious ambaye tunaweza fungua kampuni ya ushonaji (tailor) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mtu ambaye yuko serious ambaye tunaweza fungua kampuni ya ushonaji (tailor)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by IBRHYMEZ, Jan 7, 2012.

 1. I

  IBRHYMEZ New Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi ni mwanafunzi wa chuo cha engineering and technology! mwaka wa tatu, kiukwel natafuta mtu ambaye yuko serious ili kufungua kampuni ya ushonaji! nimeinvestigate vya kutosha! mtu yeyote ambate yuko tayari anitafute kwa namba ya simu 0654850886
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,530
  Trophy Points: 280
  Mkuu,fafanua zaidi.

  Kampuni ya ushonaji unamaanisha? Tailoring? Au kampuni ya vifaa vya ushonaji?

  Hiyo introduction yako ya kua mwanafunzi wa engineering imeleta mkanganyiko wa kuunganisha na kile ulichokiandika.
   
Loading...