Ndugu wanajamvi,
Naomba mwenye kuwafahamu wapambaji wazuri wa kumbi za harusi anifahamishe.Mwaka huu nitaoa so nahitaji kujua gharama mapema ili nitengeneze tentative budget yenye at leat realistic estimates.
So far rough idea ya budget kwa hiyo activity i.e. kupamba ni TZS 1M-2.5M.Idadi ya wahudhuriaji wa harusi ni 300.Na ukumbi ni wa nje, yaani wa wazi.
Itapendeza kama atakayenipatia idea awe amewahi kuona live yeye mwenyewe jinsi ukumbi ulivyopambwa na sio picha za kwenye mitandao.Vile vile ni vizuri if nitapata na contacts zao au jinsi ya kuwapata.
Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia!
Ahsanteni sana!
SALARI