Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,394
- 1,918
Laptop yangu imekufa mkanda wa display, km kuna mwenye utaalamu na masuala hayo anicheki PC nataka kufanya replacement ya mkanda.
Niko hapaLaptop yangu imekufa mkanda, km kuna mwenye utaalamu na masuala hayo anicheki PC nataka kufanya replacement ya mkanda.View attachment 966621View attachment 966622
HIVI umesoma tangazo lako au ombi lako kabla huja post kutaka msaada? Utakosa msaada hv hv,`elezea shida iko wapi na uwe kweli hujui kitu sio unasema MKANDA wakati hujui tatzo ni nini..kama ni mkanda sema ni wa wapi na sehemu gani KUSEMA mkanda tu haitoshi kusaidiwa..hamna mtu mwenye muda wakuja kukuuliza kama navyokuuliza hapa.
Nilipe kwanza mkuu..