Nahitaji mtaalamu/Mganga wa jadi

Acha Kuhangaika Bure, Muone Laizer Aliyeokota Tanzanite Akupe Connection Haraka.
 
Kwahiyo unataka kumnyima kazi mshana? Mbona tuna mganga humu Jf hatozi hela nyingi, kuku wa blue tu,.unarudi tajiriiiiiii
 

Kama upo serious njoo PM sisi hatushindwi
 
Pamoja na 90% ya watz kwenda kwa waganga mbona wengi bado ni fukara
 
Mganga yupo ila anaua mashine jogoo anakuwa hapandi mtungi na unatajirika je upo tayari?
 
We alikupa mkuu?
kuna jamaa yangu ana hela ya ndagu nae anakaa kwenye bonge la golofa ila anapikia kuni kwake alafu anakaa na mambuzi humo ndani ila jamaa ana hela balaa ukimuomba hata milioni 100 anakupa tu
 
Nenda makambako kuna sehem inaitwa isoliwaya Apo kuna Bibi kiboko mashart ake hakuna kutoka nje ya ndoa mengne siyajui

Nenda pia iringa sehem inaitwa igang dung'u kiponzelo huko kuna mtu anaitwa ziku.....Kila la kher mkuu
Dah inamaana nisitoke nje ya ndoa maisha yangu Yote?
 
Nenda makambako kuna sehem inaitwa isoliwaya Apo kuna Bibi kiboko mashart ake hakuna kutoka nje ya ndoa mengne siyajui

Nenda pia iringa sehem inaitwa igang dung'u kiponzelo huko kuna mtu anaitwa ziku.....Kila la kher mkuu
apo kwenye kutoka nje ya ndoa mtiani mkuu ilo sharti libadilishwe hahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…