Nahitaji mtaalamu/Mganga wa jadi

Nahitaji mtaalamu/Mganga wa jadi

Joined
Jan 20, 2020
Posts
65
Reaction score
105
Wakuu habari za jioni, bila shaka hapa JF hitaji langu linaweza tatuliwa. Nimekuja kuomba kuelekezwa niwapi nitampata mgaga mtaalamu wa ndagu za machimboni.

Nahitaji msaada wenu kwa yeyote anayejua mganga mwenye uwezo wa kunitimizia hitaji langu nahitaji kwenda machimboni, kutafuta pesa ya maisha kupitia ndagu za machimboni. Naomba mwenye kujua wapi naweza timiza lengo langu njoo PM kwa mawasiliano zaidi unipe muongozo maisha ni kujilipua jamani.

Tafadhali kila MTU na Iman yake kama iman hii haikuhusu pita kimya ila kwa wajuzi wa mambo haya karibuni nahitaji msaada wenu
 
Mkuu vijana hawako serious njoo pm nikupe connection ila mm nataka jogoo mmoja tuu
 
Mganga ni technolojia tu...ukiwa na machine za kupima na kuditect madini utavuna tu kama barrick na wengine wanavofanya! Mganga huwa ni kuotea tu, asikwambie mtu mganga atajua dhahabu ilipo afu akuelekeze ukachimbe badala ya yeye kuchimba!! Hakuna mganga anayejua mikanda ya dhahabu ng'ooo wale wanaokwenda kwa waganga afu wakafanikiwa wasiseme ni waganga sema huwa wameotea tu mkanda wakaukamata baaasi
 
pole sana

naona umeshafeli kabla hata hujaanza

*inshort ww mwenyewe ni mganga.nukta
 
Nenda makambako kuna sehem inaitwa isoliwaya Apo kuna Bibi kiboko mashart ake hakuna kutoka nje ya ndoa mengne siyajui

Nenda pia iringa sehem inaitwa igang dung'u kiponzelo huko kuna mtu anaitwa ziku.....Kila la kher mkuu
 
Yaani upate pesa halafu usitombe...E nje huo utakuwa uzwazwa wa kiwango cha lami..
 
Wakuu habari za jioni, bila shaka hapa JF hitaji langu linaweza tatuliwa. Nimekuja kuomba kuelekezwa niwapi nitampata mgaga mtaalamu wa ndagu za machimboni.

Nahitaji msaada wenu kwa yeyote anayejua mganga mwenye uwezo wa kunitimizia hitaji langu nahitaji kwenda machimboni, kutafuta pesa ya maisha kupitia ndagu za machimboni. Naomba mwenye kujua wapi naweza timiza lengo langu njoo PM kwa mawasiliano zaidi unipe muongozo maisha ni kujilipua jamani.

Tafadhali kila MTU na Iman yake kama iman hii haikuhusu pita kimya ila kwa wajuzi wa mambo haya karibuni nahitaji msaada wenu
Nenda Tanga hutokosa wataalamu kule.
 
Back
Top Bottom