nahitaji Mtaalam wa graphics anitengenezee logo hii

alphoncetz

JF-Expert Member
May 1, 2011
280
50
Hi everybody!

Nahitaji kutengeneza logo kwa ajili ya kazi yangu.
yoyote anjejua kutengeneza nice-looking logo ni PM au nipigie nikupe maelekezo

Will pay something on it

0767659145
 
we taja vitu unavotaka kwenye logo utatengenezewa hata 10 humu humu
mwambie. mambo ya PM sijui na kupiga simu.. dah.. au basi aangalie threads atawaona wataalamu, hawajifichi awaPM yeye :biggrin
 
hi everybody!

Nahitaji kutengeneza logo kwa ajili ya kazi yangu.
Yoyote anjejua kutengeneza nice-looking logo ni pm au nipigie nikupe maelekezo

will pay something on it

0767659145

najua lazma ulipie..weka offer yako hewani mambo ya ku-pm ni kuchoshana tuu.... Sema unataka nn na una tshs/ usd ngapi watu tufanye maamuzi magumu.
 
nashangaa sijui pm sijui nini. inabidi aseme hapa hapa anachotaka. kujificha ili iweje?. unataka logo yako iwe na vitu gani na ya aina gani?. thread ina title nzuri lakini habari tofauti. mia
 
me naombeni tu msaada wa logo pia.nataka iwe na picha ya za vyakula hasa burger ,sandwich hot dogs n so kwa ajili ya kubandikia kwenye kibanda changu cha kuuzia burger
 
me naombeni tu msaada wa logo pia.nataka iwe na picha ya za vyakula hasa burger ,sandwich hot dogs n so kwa ajili ya kubandikia kwenye kibanda changu cha kuuzia burger

tangaza dau tu uone mambo yatakavyokuwa fasta
 
twiga-waviduku.jpg

haya sample hio leteni hizo vocha basi
 
Back
Top Bottom