Nahitaji msaada wenu

Xerophytic B

Member
Oct 24, 2016
10
1
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hapa dar, ila nina cheti cha diploma ya maabara za viwandani.

Nimekwama sina ada ya mwaka wa pili, sikupata mkopo. Msaada wenu hata kama nikisaidiwa nifanye kazi za shift ya usiku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom