Nahitaji Msaada Wenu Wadau.

Nahitaji Msaada Wenu Wadau.

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,138
Reaction score
1,045
Salam Wakuu! Kupitia jukwaa hili naomba kwa yoyote mwenye KEY za AVG Antivirus 2013 pamoja na AVG PC Tuneup. Natanguliza shukrani.
 
Si ingia online ununue? Watz tujifunze kuacha ujanja ujanja
 
Si ingia online ununue? Watz tujifunze kuacha ujanja ujanja
Kweli kabisa kila kitu kuomba omba tuu ndo maana tunashindwa kuwa wabunifu. Kama huna pesa jaribu kutumia hii ya bure "Microsoft security essentials" miye ndo natumia sijapata matatizo kabisa na viruses.
 
Mkuu! Sio wote tunao ujuzi ktk hilo. Asante!
 
Back
Top Bottom