Nahitaji msaada wako kuhusiana na ''free internet''!

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,921
Reaction score
3,248
Jamani natafuta wataalamu wanaouza SIM card za free internet. Mimi nakaa dar, naomba kama unajua mahali zinapouzwa nijulishe kwa PM nitakutafuta.

Au kama unajua jinsi ya ku-hack line iwe inafungua internet free...please nielekeze. Nitafurahi sana nikipata ujuzi.

With Thanx!
 
Duu,unapenda dezooo,dezooo!!!
 
Oya acha mambo hayo 2mia pesa ikuzoee!!
Hajaomba ushauri wa matumizi ya pesa,kama teknolojia hii imekupitia mbali,PITA!
Hapa sio jukwaa la mapenzi wala siasa,HATUTAKI WANASIASA HUMU!Belivdat!
 
Jamani natafuta wataalamu wanaouza SIM card za free internet. Mimi nakaa dar, naomba kama unajua mahali zinapouzwa nijulishe kwa PM nitakutafuta.

Au kama unajua jinsi ya ku-hack line iwe inafungua internet free...please nielekeze. Nitafurahi sana nikipata ujuzi.

With Thanx!
Mkuu,wataalam wata ku pm soon,hapa ndio jukwaa la TECH,usisikilize hao wanasiasa!
 
Kumbuka kwamba hakuna bure iliyokosa mizizi hata kama huioni. Hakuna internet ya bure na kama ipo ni wizi unafanyika. Aupo tayari na wewe kuwa mwizi?
 
Kumbuka kwamba hakuna bure iliyokosa mizizi hata kama huioni. Hakuna internet ya bure na kama ipo ni wizi unafanyika. Upo tayari na wewe kuwa mwizi?
 
Tanzania kila topic mnajibu kisiasa wanajibu kisiasa. Dis is serious jaman! Hata mie cjui ila naomba msaada nijuzwe hili even kwa PM
 
Sio kwamba ninapenda dezo, no! Huku chuoni life la kununua bundle linachosha. Kuna watu wengi wamechakachua na wanatumia internet free kilasiku. Tatizo ni kuwa maujanja ya kufanya sina. Nawashukuru walioniPM. Mungu awabariki.
 
hebu nipe na mimi hayo maelezo hata kwa pm ndugu yangu.
 
zipo line 3 zenye life net za voda!!!ila huwezi kupiga!!Na moja inauzwa laki moja na nusu swali je mimi ntakuamini vipi kama wewe ni mhitaji kweli??hapo ndo penye mgogoro!!:spy:
 
hamna ya airtel au tigo? Voda upuzi tu mtandao wao
 
Dah,naitamani free net ya Airtel jamani...ipo siku tu.Belivdat
 
Back
Top Bottom