Mtoto wa kaka yangu alifeli kidato cha 4. Nataka nimfungulie ofisi. Je, kati ya saluni ya kiume na biashara ya mitumba ipi inalipa vizuri? Kiasi ninachotaka kumpa ni Tsh 3,000,000/. Na kama mtaona(wana-jf) kuwa labda hicho kiasi hakitoshi, naomba mnipe wazo mbadala ili tumuokoe kijana huyu. Maana amekosa uelekeo kabisa.
wana jamii forum naomba ushauri mimi ni mwajiriwa ktk restaurant kama mpishi,sasa nataka kujiajiri ,kufungua mgahawa wenye uwezo wa wageni wa kukaa kama watu kumi na tano ,na natarajia kuuza bites na juices na soda bites ni kama cakes,samosas,pizzaz biscut home made,huo ni ufupi tu wa bidhaa zangu,je ni biz yenye mafanikio?ushauri p'se

Kilombero
Msimu wa kilimo cha mpunga hapo Kilombero unaanza wakati gani?
Kilimo ni cha umwagiliaji ama cha kutegemea mvua? Thanks.
JM