Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu

Mkuu unasema unawaombea watu Hao ili MUNGU awasamehe dhambi zao??!!!!. Unataka Kusema wanaokumbwa na Kadhia za Magonjwa km hayo huwa ni Wadhambi??.
 
Mkuu unasema unawaombea watu Hao ili MUNGU awasamehe dhambi zao??!!!!. Unataka Kusema wanaokumbwa na Kadhia za Magonjwa km hayo huwa ni Wadhambi??.
Ndugu mimi nmetuma kamchango kadgo tyr vipi na ww umetuma au unatfta mijadara kwny afya za wanadamu wenzako mimi nilitegemea nikute umekoti unanipongeza kwa kuchanga kidgo kumbe unataka mijadara hisiyo na tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…