Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 801
- 1,169
Mm nimtumishi wa umma katika idara ya afya, miezi sita nyuma nilihamia katika kata moja maeneo ya mkoa wa lindi kutumikia wananchi.
Sasa katika utoaji wa huduma eneo nilipangiwa kikazi kama incharge wakituo husika, huduma zikapendwa nawananchi kiasi cha kupelekea kushuka mapato katika moja ya duka ladawa la mtubinafsi lililokaribu na eneo langu la kazi.
Jambo ambalo lilipelekea chuki kwa bwana huyo kuwepo dhidi yangu, huyo bwana akanitengenezea scandle yakua nnatembea na mke wa diwani jambo ambalo sikuwahi kulifanya wala kujihusisha nalo, ilikua mwezi wapili tr10/02/2024 nakumbuka ilikua mechi ya Afcon mshindi wa tatu kati ya Kongo drc na south Africa.
Baada ya mechi nikarudi kulala majira kama ya sasita kabla usingizi haujanikamata vyema niliona moto mkubwa uliowashwa kwa mafuta ya petrol uliowashwa kwenye dirisha la chumba changu, na NONDO yenye lengo la kunichoma ila nikapiga kelele na kuwahi kuzima moto ,kisha kuamsha majirani baadae watu wengi wakakusanyika kwenye eneo la tukio, asubuhi ya tr 11/02/24 police walikuja pamoja na uongozi wa kata kuchukua maelezo na pia kufanya mkutano na wananchi.
Kwasasa suala hilo baada ya mm mwenyewe kulipeleka police kumekua na mazingira ya mdororo wa shauri langu huko police,naona kama wahusika wametoa rushwa ikiwa ni pamoja na kuwaona watuhumiwa wakidhurula tu mtaani bila ya kukamatwa nakwamba jambo langu linaonekana kutotiliwa nguvu.
Nimejaribu kwenda kwa mkuu wa kituo OCS anaonekana kunikalipia nakuniambia kua mnazingua nnaleta Majungu sasa naona kabisa suala hili ambalo nadhani nijaribio la mauaji dhidi yangu,nifanye hatua gani kuweza kupata haki yangu.
Naomba nisamehewe kwa uandishi mbovu.