Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

Safi sana. Nyinyi ndiyo watu waelewa, matured na straight acting people. Mungu azidi kukubariki wewe na kizazi chako.
 


This is what 'kind people' are made of ! All I can see in you is generosity. You know how LIFE treats people.

Stay always blessed. Kazi kwake sasa mleta mada.

-Kaveli-
 
marrk my words

over ambitious ..... this may turn and end up into a bitter saga
 
Ndio maana naipenda jf, watu wako deep kudadamvua na kufuatilia issue
 
Safi sana msaidie mshikaji
 
Mkuu nimekujibu tiyari PM, naomba uangalie! nashukuru sana mkuu na Mungu azidi kukujalia
 
hujui maisha niliyopitia mkuu siwezi kumkebehi mtu na shida zake
wewe msome vizuri huyu kijana anataka tu mkopo na mimi siwezi kumgeuzia malengo yako na ujue hakuna kazi mbaya kama kumdhamini mtu mahali akiharibu wewe ndo umeharibu
Kama ulijua kumdhamini mtu ni ku risk kwanini ulionyesha interest mwanzoni? Haikuwa na ulazima wowote pia kuanzia kuonyesha kwamba "haeleweki" bila kuwa na sababu za msingi,hiyo ni sio nia nzuri.
 
Mbona sielewi kinachoendelea ID nyingine inajibu hoja ya mwingine!


Bango
 
Kama ulijua kumdhamini mtu ni ku risk kwanini ulionyesha interest mwanzoni? Haikuwa na ulazima wowote pia kuanzia kuonyesha kwamba "haeleweki" bila kuwa na sababu za msingi,hiyo ni sio nia nzuri.
Ndio maana wengi tumehisi huyu Natafuta alikuwa anatafuta kweli KICK
 
teh teh teh

nimegundua kuna underground drama inaendelea hapa
 
Hizo ni changamoto za kawaida katika maisha. Naomba kukuuliza swali, umesema ulisoma bila mkopo, je ada na mahitaji mengine nani alikuwa anakulipia?.Hiyo pesa ya akiba uliipataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…